Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Bei tsh.750000 picha hapo chini
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Kwa mtu mwenye hii kitu nahiitaji please.
0 Reactions
4 Replies
687 Views
Habari ya Jumapili Wanabodi, Nauza Kiwanja changu kilichopo Madale, Dar es Salaam. Kina Ukubwa wa hatua 60 kwa 48. Kipo eneo tambarare na watu tayari wameshajenga Bei ni Tsh Ml.12 tu Kwa mteja...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
ni core i5,ram 4gb, harddisk 500gb ipo vzr sana na inakaa na charge bei laki 4 contact:0714 798 085
0 Reactions
5 Replies
875 Views
Wadau, Ninahitaji mkopo wa fedha ili nijenge nyumba ya kuishi katika eneo ninalolipenda na ramani ninayoihitaji. Sina fedha za kutosha kujenga nyumba hiyo. Ninaomba yeyote mwenye taarifa ya...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wana jf. Kwa yeyote anaye itaji ps3 used anicheki bei yangu ni laki nne na elfu 50 tu. Inakuja pamoja na controller 2 na 5 Games.
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Tsh 12000@1sqm Ni beach plot Viwanja viko umbali wa mita 500 toka baharini Kutoka ferry hadi vilipo viwanja ni km 24 Viwanja vina mchoro na hati ya ofa Ukifika ferry panda gari za mbutu kupita...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ya udereva
0 Reactions
1 Replies
955 Views
hard disk 250,ram2 gb na 1.40ghz processor AMD E1-1200 with radeon (tm). inakaa na charge bei laki 3 contact 0714 798 085
0 Reactions
2 Replies
525 Views
Habari wanajf..... ShimoAgriconsult Entreprises,ni taasisi ya Kitanzania ambayo ipo kwa ajili ya kutoa huduma zifuatazo ambazo zina lengo la kukuza Uchumi wa wajasiriamali na Taifa kwa ujumla...
0 Reactions
5 Replies
978 Views
Mini stove anayeuza.
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Nauza simu aina ya Sony expria bei 200000 ipo kinondoni.
0 Reactions
2 Replies
674 Views
Je unataka kuwa na website basic kwa ajili ya biashara yako au kwa ajili yako mwenyewe. Jipatie website nzuri yenye ubora kwa gharama ya shilingi 99,000 tu. Domain name iliyoko katika ofa hii ni...
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Wakuu heshima kwenu nyote. Kama title ya uzi huu inavyojieleza... mashine naiweka sokoni. Ni 'DELL INSPIRON N5040', kitu genuine kabisa. Mali yangu halali. SPECIFICATIONS: EXTRA SPEC's: -...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Imeshapata mteja
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa BUSWELU Kwa wakazi wa mwanza kuna viwanja viwili vimeshikana vinauzwa maeneo ya Buswelu jijini Mwanza Vimeshapimwa na vina Full Documents
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarin.... samsung grand prime plus bado ipo katika hal nzur aina michubuko wala crek iko poa kabsa pic whatsup no 0713844841 Price 200k pungufu tutajadiliana Karibuni sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Helo Diaz! Hope Mungu amewaamsha salama, Naendelea kupokea oda za Scarfs na darasa ni jumamosi asubuhi mpk mchana... Darasa litatakuwa ni mikoba ya shanga kwa sh 10000/= tu. Kwa wale...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Ndugu mjasiriamali, jipatie elimu ya kisasa ya kulea vifaranga Bila kufa, Kwa kupitia whatsup yako. Unalipa gharama ya TSH 5,000 tu kwa M-Pesa. Watu wengi hawawezi kulea vifaranga na wa napoteza...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni mpya,haijatumika hata Siku moja. Inchi 32 Bei 380000 Risit IPO Aliye dar/bagamoyo anaweza kupata Anayetaka njoo pm
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…