Nina milioni 5 nahitaji kununua gari

Nina milioni 5 nahitaji kununua gari

NAKUSHAUR MKUU HIYO HELA WEKEZA KWENYE BIASHARA TUSUBIRI NOAH ZA MAGU
 
Na mimi naomba kujua bei ya Raum New Model,Rangi nyeupe au ya maziwa.
 
Nimekupm mkuu ....nauza outlander black la 2009...mil 5 cash..
 
nauza mgongo wa chura old school.... nimeufufua juzi tu baada ya kusikia motorvehicle imefutwa na tra ipo kwenye mafuta.

hii ni bonge ya mashine.wayback
 
nauza mgongo wa chura old school.... nimeufufua juzi tu baada ya kusikia motorvehicle imefutwa na tra ipo kwenye mafuta.

hii ni bonge ya mashine.wayback
Weka picha pengine itanivutia kuiweka kwenye jumba la makumbusho...
 
Back
Top Bottom