MALIGHAFI ZA KUTENGENEZEA SABUNI

MALIGHAFI ZA KUTENGENEZEA SABUNI

Kylan

Member
Joined
Feb 5, 2017
Posts
55
Reaction score
21
Msaada kwa anayefahamu mahali zinapopatikana malighafi za sabuni mkoani mbeya
 
mahari ? kwan mahari umetumwa sabuni ???? au mahali sehemu ? jamani kiswahili
 
Mahari unapeleka kwa binti gani mkuu? Ili niwe mshenga
 
mahari? fanya marekebisho kidogo hapo maana watakumakinikia tu
 
Back
Top Bottom