Simu samsung A5 na s7

sibusiso dlomo

JF-Expert Member
Apr 23, 2016
681
500
Simu samsung A5 inauzwa kwa laki 3 na nusu bado mpya kabisa
Samsung s7 inauzwa laki 6 na nusu
Simu zote bado zipo katika hali nzuri sana
 

legend07

JF-Expert Member
Mar 19, 2014
330
225
Zina full accessories? Au upya wake ni upi?....weka namba na unapatikana wap
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom