Nauza hii Prado 1KZ nashida ya pesa.

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
10,343
2,000
Kinachoipa bei kubwa hiyo gari ni Rangi ,Engine,matunzo mazuri ya mtumiaji au..nifafanulie tafadhali maana sie wengine hatuyajui sana magari.
 

R Mbuna

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,159
2,000
Huyo jini mkuu na usawa huu wa kulipia tsh 40 ya road licence kwenye fuel nadhani kwa hilo utakuwa unalipa gharama ya kununua starlet kila mwaka.
 

lenpel

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
254
250

Toyota Prado 1KZ
Diesel Engine
Km190k
Contact 0688300088
Duty Paid with new tyres.
19,000,000/=Mazungumzo yapo karibu.
Kwa hiyo gari mm ningeichukua...sema basi tu pesa haijanitembelea muda mrefu...ningeichukua kwakweli...anyway kisicho ridhiki...hakiliki
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom