Mkuu kuna hawa jamaa wanaitwa EFTA Ltd wapo hapo Morogoro hebu jaribu kuwacheki huenda wakakusaidia sana kutokana na maelezo yako.Nina kampuni ya ujenzi natafuta mtambo wa kuchonga barabara (motor grader 140G) kwa mkopo wa riba nafuu. Nipo Morogoro. Mwenye msaada nitashukuru
nashukuru nitawatafuta mkuuMkuu kuna hawa jamaa wanaitwa EFTA Ltd wapo hapo Morogoro hebu jaribu kuwacheki huenda wakakusaidia sana kutokana na maelezo yako.
Wanatoa mikopo ya mashine pia
Poa kiongozi nitajaribu kufuatiliaJaribu kuwacheki catapila kuna wakati walikuwa wanauza hiyo mitambo kwa mkopo sina uhakika kama bado wanaendelea na utaratibu huo