Eneo linauzwa Bei cheee.

SULWE

Member
Apr 6, 2017
90
125
Wanaja jamvi napenda kuwajulisha kuwa kuna eneo linauzwa pale maswa mjini mtaa wa majengo mapya karibu na hospitali ya wachina , eneo limepimwa na lina viwanja vinne vilivyo kwisha pimwa, bei nzuri kwa faida ya pande zote mbili, wahi mapema... Kwa mawasiliano tafadhali piga namba hizi. 0768937657/ 0683619674/0622893126
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom