Pata simu kwa bei poa

Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
5,052
12,819
Pata simu LG G5 used but in good condition kwa bei rahis.
0766728326. Location Mbeya.
Internal storage 32 GB
RAM 4 GB
Front Camera 16 MP
Price 600,000 . maongez yapo.
Au tunaweza kubadilishana sim ukaniongeza na pesa kiasi inategemeana na sim uliyonayo.
 

Attachments

  • IMG_20170524_152136.jpg
    IMG_20170524_152136.jpg
    86.9 KB · Views: 66
  • IMG_20170524_152136.jpg
    IMG_20170524_152136.jpg
    86.9 KB · Views: 59
  • IMG_20170524_152137.jpg
    IMG_20170524_152137.jpg
    84.6 KB · Views: 56
  • IMG_20170524_152137.jpg
    IMG_20170524_152137.jpg
    84.6 KB · Views: 51
Wabongo tuna shida sana aisee. Simu yako halafu unataka mnunuzi ndio akupangie bei. Sawa mimi offer yangu ni TZS 10,000/=!
 
Wabongo tuna shida sana aisee. Simu yako halafu unataka mnunuzi ndio akupangie bei. Sawa mimi offer yangu ni TZS 10,000/=!
Sivyo mkuu mi naangalia ofa itayotolewa kama inanilipa tunafanya biashara
 
Inakaa na charge mda gani...kama..ukiweka data on...alaf matumiz ya kawaida?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom