NAUZA LAPTOP Dell Inspiron 2000 Core-i3, KWA BEI NAFUU

NAUZA LAPTOP Dell Inspiron 2000 Core-i3, KWA BEI NAFUU

Erasme

Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
63
Reaction score
21
Kama Tangazo linavyosomeka hapo, nauza laptop yangu 450,000/= yenye specifications zifuatazo :-
Processor Core-i3
RAM 4GB
HARD DISK 250 GB,
laptop ni nzima kabisa haina tatizo lolote unaruhusiwa kuikagua kabla hujainunua inakaa na charge masaa 2 na Nusu, ninapatikana Dar maeneo ya Banana,
Mawasiliano
[emoji338] [emoji117]0716 716 279
3cf4e80412c4dbe9a7286e0807ff16eb.jpg
711551c6023553050f4bc3eea8171521.jpg
a5c0047ddde75f37d41814031e9732ea.jpg
eb398746db5ccb0f1e9ea97da869b0b8.jpg

Mawasiliano
[emoji338] 0716 716 279

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Nina 250 cash ...ipo mfuko wa sharti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inamuda gani tangu uanze kuitumia? Dukani uliliinunua kwa bei gani? Listi Yake unayo? Wengine hatujui mambo ya specification hivyo ubora wa kitu tunaangaliaga bei ya kitu tu.
 
inamuda gani tangu uanze kuitumia? Dukani uliliinunua kwa bei gani? Listi Yake unayo? Wengine hatujui mambo ya specification hivyo ubora wa kitu tunaangaliaga bei ya kitu tu.
Kweli mkuu ikibidi unaitafutia depleciation
 
280 nipm tufanye biashara

from Katesh using Siemens C55
 
Niliwahi kununua laptop humu nilikoma! Mpaka leo laptop ikiharibika hainisumbui
 
inamuda gani tangu uanze kuitumia? Dukani uliliinunua kwa bei gani? Listi Yake unayo? Wengine hatujui mambo ya specification hivyo ubora wa kitu tunaangaliaga bei ya kitu tu.
Mkuu nimeinunua duka mwezi wa tano, na nilinunua 600k, nilikuwa nimeiweka tu ndani nikaona niuze tu kama vp Google Dell2000 utaona specifications zake ni machine ngumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kununua laptop humu nilikoma! Mpaka leo laptop ikiharibika hainisumbui
Mkuu hii machine iko vizuri siuzi kwa sababu naona ina shida, ni machine nimeinunua 600k na nilikuwa nimeiweka tu ndani siitumii mara nyingi shughuli zangu nafanyia ofisini nimehamua tu kuisukuma kwa gharama hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom