Nina unga wa muhogo niuze wapi?

Unga wa mihogo kg moja ni bei gani nikuulizie soko ughaibuni na una tani ngapi? Je umepaki kg ngapi kwa mfuko? Tunaomba bei yako kwa kg 1000 au tani moja mpaka dar es salaam
 
kiongozi bado tunaweza fanya hii bussiness, ninaunga wa kutosha.
 
Unga wa mihogo kg moja ni bei gani nikuulizie soko ughaibuni na una tani ngapi? Je umepaki kg ngapi kwa mfuko? Tunaomba bei yako kwa kg 1000 au tani moja mpaka dar es salaam
Tani moja bila shida order zikizidi tunachakata mwingine zaidi.... piga tuongee 0764601903
 
Unga wa mihogo kg moja ni bei gani nikuulizie soko ughaibuni na una tani ngapi? Je umepaki kg ngapi kwa mfuko? Tunaomba bei yako kwa kg 1000 au tani moja mpaka dar es salaam
bei mpaka Dar ni Sh 2000 kwa kilo,.. 2.000.000 kwa Tani.... piga tuongee 0764601903 napatikana pia whtsp
 
Unga wa mihogo Zanzibar una soko hata Tanga huu unasongwa na samli pamoja na sukari kutengenezea halua
 
Back
Top Bottom