Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 899
Eneo hili lipo mbwanga kabla ya nala dodoma mjini.lina ukubwa wa ekari tatu kasoro kidogo sana,hati yake ni ya kijiji!liko umbali usiozidi kilomita 11 toka town centre na umbali wake toka barabara kuu ya lami iendayo singida/mwanza ni kama mita 500/600
Kabla ya kufika kwenye eneo hili(mbele yake) kuna ghorofa nzuri inajengwa.water table iko karibu,hivyo ni fursa kubwa zaidi.kuna jirani ana mradi wa kufyatua na kuuza tofali kutoka na fursa iyo(kachimba kisima).maji na umeme viko karibu
Halijapimwa ila majirani wawili pande mbili tofauti wa karibu na eneo wamekwishapimiwa.bei yake milioni 9 tu
NB;mimi sio dalali ila ni mmiliki
Kwa atakayehitaji anaweza ni PM ama
0767833496
stevenmasaka@gmail.com