Ndigwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 210
- 60
Mkuu unataka Mamba tena? ama ni namba zake?mambo zako
Ukiotesha mpingo mwaka huu watakuja kuvuna wajukuu wa wajukuu zako.
[/QU
Ni bora utafute mbegu. Unaweza kuzipata wilaya ya Handeni au mkoa wa Pwani, Lindi na Mtwara.
Jinsi ya kuotesha utaelekezwa tu.