Shamba heka mbili linauzwa

prof.elias

Member
Nov 19, 2013
29
9
Nauza shamba langu mlandizi kwa bei ya haraka mil 2.5, lina ukubwa wa heka 2 tu.
Mawasiliano:0714187123, 0712754400.
 
unafika kabisa mlandizi stendi kabisa na unaingia upande huo huo wa kushoto kutokea dar au ukitokea chalinze unaingia kulia kijiji cha ng'etwa ni kama 1km toka stendi.
 
liko mlandizi maeneo gani hapo

naje hakuna matatizo ya mafuriko pindi mvua zikianza?

hakuna matatizo yoyote hapo kwenye hilo shamba kabisa, lipo kijiji cha ngeta au piga namba hii hizi kwa maelezo zaidi 0712754400 au 0713626494 wakati wowote utapata maelekezo zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom