Viwanja vya makazi na biashara vinapatikana mkuranga vikindu karibu kabisa na chuo cha saint agustin

mngomo

Member
Nov 16, 2016
9
2
Viwanja hivi vipo umbali usiozid kilomita 3 toka barabara kuu ya kilwa. Maeneo viwanja vilipo ni vikindu mkuranga.karibu kabisa na kinapojengwa Chuo kikubwa cha st Augustin. Kwa wasiliano zaidi tuwasiliane kupitia namba 0713189336
0625550306
0687800681

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fafanua kidogo, bei ikoje kwa ukubwa upi then ndiyo utapigiwa simu
 
Huyu ni dalali, angekua ni mwenye mali angetoa maelezo yote muhimu kama bei, ukubwa, kina hati au hakina hati na sehemu ili anayehitaji awe tayari kwa kununua, Biashara isiyo na maelezo ya kutosha hua inatia shaka sana
 
Hata kama ni dalali angekuwa na habari angalau zenye kutoa ufafanuzi kidogo
 
Biashara ya vitu kama hivyo Unawezaje kutaja bei wakati swala la makubaliano kati ya muuzaji na mnunuzi? Maelezo yakutosha ni Wapi maeneo hayo yapo fulsa zilizopo zimeelezwa kwenye maelezo ya msingi. Sasa zaidi ya hapo Ukiwa umeona kuwa ni fulsa kwako basi utatafuta namna ya kufafanuliwa zaidi lakin huwez kueleza hapo bei na mambo mengine.


Nilitoa kama sehemu ya kuonyesha fulsa za uwekezaji.sasa bei unataka ukubwa gani kiwe na sifa zipi ilo ni jambo jingine ambalo utaweza kuzumgumza kwa kina pembeni na hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom