FENSI NZURI YA NYUMBA

FENSI NZURI YA NYUMBA

WAKUNJOMBE

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
633
Reaction score
671
WanaJF
Yaani nahangaika kutafuta fensi nzuri ya nyumba nimetuma mafundi mbali mbali dar na mikoa mingine hamna ukuta walio nilitea nikaupenda,nikagoogle hamna kitu...
Naomba humu kama kubafundi mzuri wa nyumba inipe pendekezo lake nimlipe..
Asanteni..
 
Mimi ni architect naweza kukutengenezea fensi nzuri sana njoo in box tujadiliane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom