NAUZA NYUMBA

NAUZA NYUMBA

Habar zenu wana jf;<br />Kuna nyumba inauzwa ipo mwananyamala B" bei yake tsh 20ml ina vyumba tisa karibu(siitaji dalali) kwa maelezo nichek 0717 550291 au PM<br /><br />Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
iyo nyumba au choo, mbona inauzwa kwa bei rahisi hivyo, ina tatizo gani? maji yanaingia kipindi cha mvua? ya urithi?
 
Nyumba ya vyumba 9 mill 20 asee...sina tu ela ningeichukua

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwahiyo unasubiri hadi tuombe picha au!!?

Even a black folk hate to see another nigga made it..

Weka picha kwanza

iyo nyumba au choo, mbona inauzwa kwa bei rahisi hivyo, ina tatizo gani? maji yanaingia kipindi cha mvua? ya urithi?

Iko bondeni itakuwa

My own brand!!

Sitaki kuwa muhanga wa bomoa bomoa
Habar ndugu zangu;
Ni kwl nimeona mchango wa mawazo yenu
1:kuhusu suala la picha naomba mnivumilie kesho ntatuma kwasababu kwasasa tunaishi kibamba kwahyo imekua vgumu kufika mwananyamala na kupiga picha
2;nyumba ni ya familia na mama yetu bdo yupo hai
3; pia ni kwl nyumba yetu inatatzo la kutoa maji hii inasababishwa na jiran kuziba mferej wa kutolea maji kwa nyuma
Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! M20? Halafu sehem yenyew mwananyamala! Bei sawa na bure kweli usawa mgumu

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Ni bora nikajenge kibiti kuliko kununua nyumba inayojaa maji masika
 
Goodluck bro, hopeful you get the what is the best price for you.
 
Habar ndugu zangu;
Ni kwl nimeona mchango wa mawazo yenu
1:kuhusu suala la picha naomba mnivumilie kesho ntatuma kwasababu kwasasa tunaishi kibamba kwahyo imekua vgumu kufika mwananyamala na kupiga picha
2;nyumba ni ya familia na mama yetu bdo yupo hai
3; pia ni kwl nyumba yetu inatatzo la kutoa maji hii inasababishwa na jiran kuziba mferej wa kutolea maji kwa nyuma
Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
unaonaje ukisubiri msimu wa mvua ndio uiuze ili tuweze kupima hufikiwa na maji kwa kiasi gani

D.A "Mwanaume mashine"
 
Mkuu kwa idadi hiyo kubwa ya vyumba na bei uliyotaja ni sawa na kutuambia umma kuwa unauza kiwanja maeneo ya mwananyamala B. mimi kiwanja cha dar kwa sasa hapana hadi top wa mji abadilishwe ndio nitakuja mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom