Plot4Sale kiwanja kinauzwa

mauajc

Member
Mar 14, 2017
57
24
Nauza kiwanja changu maeneo ya Kigamboni Malimbika. Eneo Nizuri sana kilometa 1 kutoka barabara ya lami. Ukubwa ni heka 1 Umeme wa Tanesco na bomba la maji vinapita jirani barabarani bei yake ni 25 ml kwamaezo zaidi nipigie kupitia namba hii 0683297221
 

Attachments

  • GPS.jpg
    GPS.jpg
    33.4 KB · Views: 75
Kuna umbali gani kutoka kwenye mradi Wa NHC natafuta eneo la kufanyia biashara.
 
Ni ya kwako binafsi mkuu? manake huko kigamboni kuna jamaangu karibu alizwe.
Nikweli kuna utapeli kwenye viwanja unatakiwa kabala ya kununua umuone mjumbe na mwenyeki wa serekali za mitaa wanajua wamiliki wote wa viwanja kwenye maeneo yao.Kiwanja ni changu mwenyewe.
 
Uyu dalali tu....sasa ata kuwamini inakua ngumu, mna tamaa sana,.. Kiwanja cha 15mil unauza ishirini ili upate, ..cha juu, izi hela za mashetani zitawamaliza
 
Uyu dalali tu....sasa ata kuwamini inakua ngumu, mna tamaa sana,.. Kiwanja cha 15mil unauza ishirini ili upate, ..cha juu, izi hela za mashetani zitawamaliza
Kaka kiwanja ni changu mimi sio dalalali naomba unielewe swala la bei inategemea na eneo lipo sehemu gani, heka moja kuna viwanja zaidi ya sita vya kupima 70x70 ni eneo kubwa ndugu acha maneno ya akiba hii nibiashara sio ugonvi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom