muhhidinramadhan
Senior Member
- Mar 26, 2014
- 140
- 63
Kwa mahitaji ya betri za gari . Bei nafuu Aina za betri. Sealed Dry cell na za maji. Saize za betri na bei ni. N 40 .75000 ,N 50 .95000, N 70. 110000, N 100 . 13000, N 120. 150000 , N 130 .160000, N 150. 180000, N 200.250000. Pata betri original kutoka nje. Kama Japan ,korea , na German. Pia zna uimara wa hali ya juu na ubora.Vilevile delivery kwa wakazi wa Dar. Hadi gari ilipo. Na warranty ni miezi mitatu .3.Basi hupati hata muda wa kukuaa ukaandika info kwa upana ya bishara yako!!!
Kwa kukusaidia
Battery zako ni used au mpya?
Unapatikana wapi?
N70 bei gani?
N50 bei gani?
Ns40 bei gani?
N100 bei gani?
120 na 150 bei zake
Zina guarantee?? Mada gan??
Jumla unauza au?