Uwanja unahitajika

Uwanja unahitajika

DIKASHWA

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
381
Reaction score
980
Nahitaji uwanja wa maeneo ya Goba au Kinyerezi pasiwe Bondeni, pasiwe mbali sana na barabara kuu. Ukubwa wa uwanja sq 900,(30x30), sihitaji chini ya hapo, pia kiwanja kisiwe na mgogoro wowote offer yangu haizidi 10M.

Kwa aliyenacho naomba ani PM
 
Back
Top Bottom