Taja bei na mahali ulipo..wahitaji huwenda wakawa wako wengi.nitafute ninao karibu shambani.
Mkoa- Dar es SalaamTaja bei na mahali ulipo..wahitaji huwenda wakawa wako wengi.
Mkoa- Dar es Salaam
sehemu/shamba=Mbezi kwa Msuguri
Bei-180,000
Umri - Miezi Nane
Rangi- wako weupe kabisa na wengine grey na mix white and grey
Idadi- yoyote utakayotak
Mkuu hawa bata wanataga mayai 7-8 mara moja na wanataga mara mbili kwa mwaka. Handling ya mayai ni very complicated na usipochukua tahadhari kuanguliwa itachukua mda.Wanatamia kwa mda wa cku 28-30 na kawaida yai la kwanza kutagwa si rahisi kuanguliwaMkuu nisaidie, mayai yake yanatotolewa baada ya muda gani na kwanini wanauzwa bei kubwa sana?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Nahitaji bukini jike white nitapata?Mkoa- Dar es Salaam
sehemu/shamba=Mbezi kwa Msuguri
Bei-180,000
Umri - Miezi Nane
Rangi- wako weupe kabisa na wengine grey na mix white and grey
Idadi- yoyote utakayotak
mkuu naanza kuuza mwezi wa saba mwishoni karibu bei 150,000Nahitaji bukini jike white nitapata?
UNaweza kunipa nambamkuu naanza kuuza mwezi wa saba mwishoni karibu bei 150,000
hapanaHao ndiyo Bata mzinga....,,?
hapana hao ni bata bukiniHao ndiyo Bata mzinga....,,?
Shukran.....hebu nipashe tofauti zao nitamjuaje Bata bikini na bata mzingahapana hao ni bata bukini
Shukran.....hebu nipashe tofauti zao nitamjuaje Bata bikini na bata mzinga
Yaaap nimekuelewa vizuri.....kwa hiyo yake makbwa yanayopiga kelele ndiyo Bata Mzinga.Na hawa tulio nao mtaani ndiyo bata gani... ?
mtaani ni bata maji ila sina uhakikaYaaap nimekuelewa vizuri.....kwa hiyo yake makbwa yanayopiga kelele ndiyo Bata Mzinga.Na hawa tulio nao mtaani ndiyo bata gani... ?
hello wana JF,kwa mwenyekujua mahali nitapaweza kuwapata bata bukini au wale wenye midomo ya njano tusaidiane
mimi nipo dar na nataka kuanza ujasiriliamali na hao bata pamoja na bata maji
thanks