Habari wana jf sasa unaweza jipatia begi za backpack, lucksuck na handbag za wanawake zilizotengenezwa kwa material ya kiafrika. Tunapatikana Mwanza karibu na Commecial Bank of Africa.
Keep calm...
Habari wanajamvi..pikipiki aina ya TOYO Cc125 inauzwa! Ina mwaka mmoja barabarani ina document zote..kwa anayehitaji iko musoma mjini tuwasiliane 0768424274/0782277999
Sent using Jamii Forums...
Habarini wakuu..!
kama kwenye kichwa cha habari hapo juu kinavyosema, nahitaji screen aina ya TCL LED Smart Flat screen ya nch 32 kwa haraka sana yaani ikiwezekana mpaka kufikia kesho saa 3...
Habari
Nahitaji gari iwe, Toyota Noah old model.
-Gia fupi
-Automatic transmission
-Iwe katika hali nzuri
-Isiwe imeshawahi pata ajali wala kufunguliwa engine.
-Pia iwe zanzibar ambako nilipo...
Mwenye kuhitaji nursery teacher... Yupo teacher mzoefu na weny sifa na primary pia yuko mweny vigezo amesoma garissa kenya
0712770729 ..0685580057
Sent using Jamii Forums mobile app
Are you a busy person ? Don't have time or energy to clean your home & washing your clothes/beddings/ sheets etc
don't worry' Let me clean and arranging your house/ room , wash your clothes,sheets...
Tunachora ramani kwa gharama nafuu sana kulingana na maitaji yako..
Kwa nyumba ya vyumba vitatu na vinne ni 250,000/=
Ramani inakuwa na 3D na mihuri..
Pia tunatoa msaada wa kupata vibali vya...
Baada ya kukomaa na kufika mwezi wa sita na hata wa saba nikiwa mjini.
Hatimaye vyuma vimekaza kiasi cha kuamua kujisalimisha mwenyewe kijijini.
Wana JF nauza vitu vyangu kwa bei chee ili...
wakuu habari, nahitaji piki pike
sina ya t better au San lg used ILA iwe katika hali nzuri wadau,bajeti yangu ni tsh laki 6,mazungumzo yapo.kwa mawasiliano 0744220366.karibuni sana wadau tuyajenge.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.