Nyumba na Viwanja vya kununua na kuuza

Nyumba na Viwanja vya kununua na kuuza

NGARUKA

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
402
Reaction score
71
Kama kuna mwenye kuhitaji kununua au kuuza kiwanja au Nyumba ndani ya JIJI la Mwanza na Viunga vyake wasiliana nasi upate mahali/sehemu yoyote jijin Mwanza.
mawasiliano.0767791405/0789998398.
KARIBUNI
 
Kiwanja kinauzwa Nyegezi kona karibu na Tema
Hotel ni kikubwa kimepimwa ni 30x40.tsh mil.14.
KARIBUNI
 
NYUMBA.
iko NYAMHONGOLO-Igoma Mwanza ina vyumba
3(master1+self2),sebule+jiko iko kwenye finishing
ya floor imeshaezekwa maji yamo umeme pia
umefika(ingiwa haujaingizwa kwenye nyumba).
mtindo wa nyumba ni wa kisasa.
kiwwnja ni 30×40.
bei mil35 Maelewano yapo.
KARIBUNI WOTE.
mawasiliano.0767791405/0789998398
 
KIWANJA.
kiko NYASAKA karibu na barabara ya lami
inayokatikatiza toka Buzuruga-
pasiansi.Kimepimwa,umeme na maji yamefika.
Ukubwa ni 40x55 bei yake ni mil9 tu.
KARIBUNI
 
KIWANJA.
kiko NYASAKA karibu na barabara ya lami
inayokatikatiza toka Buzuruga-
pasiansi.Kimepimwa,umeme na maji yamefika.
Ukubwa ni 40x55 bei yake ni mil9 tu.
KARIBUNI

M4 vipi kiongozi?
 
Kiwanja kinauzwa maeneo ya airport ilemela mwanza. Ukubwa sqm 266. Bei 2ml. 0753101293
 
Hapa kwa hawa jamaa unakua umeingia kwenye mikono ya madalali tayari ambao kimsingi kama unauza watakuchelewesha kuuza kwa kupandisha sana bei ya kiwanja chako na kukuchelewesha kupata fedha kwa ajili ya shughuli zako.
Ni bora ukitangaze na uuzew wewe mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom