Jongwe
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 1,040
- 662
Salaam! Waungwana nataka kufanya ufugaji wa kuku, lakini kuanzia nataka kupangisha mabanda. Hivyo mwenye banda la kuku amabalo linaweza kutosha kufugia kuku 500-1000 naomba ani PM. Nitafurahi zaidi kama itakuwa barabara ya ya kuelekea Mkuranga, chanika au kigamboni, kimbiji. Ghalama ya pango ni maelewano
Asante
Asante