Kuna vyumba vinapangishwa Dodoma mjini, self contained, woodern syling board, no tiles but nice floor, water available in doors 24hrs, electricity (10,000/= kwa mwezi), bei 80,000/= kwa mwezi...
Lipo maeneo ya Ukonga kipunguni moshi bar. Ni hivi ilikuwa ni nyumba kubwa lkn mwenyewe watu aliowaachia wantuzie hiyo nyumba upande mmoja wa nyumba walikuwa wamechimba mchanga nyumba ikabomoka...
Masomo ya Pre - form one yameanza kwa wanafunzi waliomaliza darasa la saba. Wazazi na walezi mnatangaziwa kuwaandikisha watoto wenu kituoni kwetu, EBENEZA ACADEMY.
Pia, Tunafundisha wanafunzi...
Hii ni Kwa Wale wanaotarajia kufanya mtihani wa necta masomo ya chemistry na biology
Mwalimu yupo anapatikana kwa gharama nafuu tunafanya solving ya maswali yote kwa topic zote
Kwa mawasiliano...
@elegantglamour #mobilemua arusha napatikana moshono #Mysaloon ukihitaji kufuatwa nyumbani pia huduma ipo, mikoa yote Tz nasafiri, bei zetu ni sawa na bure cheap kabisa na make up ni original...
Nyama ya nguruwe poa kabisa inapatikana kwa bei ya chini. Bila malipo yoyote. Mbichi Kilo @8500/=
Reja reja na @8000 jumla kuanzia kilo 2
Roast au kavu kwa 14000/- tu
Unaletewa popote ulipo...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza zipo jumla lita 2000 yaani dumu 100 za asali mbichi original ya nyuki wakubwa ujazo wa lita 20.
Mazungumzo kidogo kwenye bei yapo karibuni.
Dar es Salaam pia...
Wale wataalamu wakutengeneza bidhaa mbalimbali za nyumbani kwa ajili ya kulaaaa wamekuletea peanut butter nzuri tamu na laini yaani wazungu wanaitaa smooth ka ileeeee ya american garden kwaniji...
(Ipod 5th gene ,32gb used km miezi 4 v),exchange deal na
(LTE Mobile WiFi Hotspot-router + 50k )..
nb.negotiable deals!!!!
wapnzi wa picha-click hpa chini upate mfano
ipod- iPod 5th Gen Dar...
Nahitaji gari aina ya Toyota Noah (old model )
1 *Iwe katika great and excellent condition*
2 *Rangi yoyote*
3 *Isiwe imerudiwa rangi wala kufunguliwa Engine*
3 *Gia Fupi and automatic*
4 *Isiwe...
Hbr za asubuh wana Jamii..
kama kichwa cha hbr kinavosoma. mimi na wenzangu watatu tumelima tangawizi takribani heka 8.Na ninavoandika huu ujumbe, ni kwamba mzgo uko tayari kuvunwa kule Songea...
Habari wakuu Natafuta Chumba kimoja kiwe self-contained maeneo ya Mbezi Beach, Sinza au Makongo Juu...
Nyumba iwe ndani ya Fensi, Isiwe na wapangaji wengi kuepuka kupigizana kelele.
Bajeti...
Eneo dogo tu la kuweka kibanda changu cha kufanyia biashara, inaweza kuwa Sinza, ubungo, makumbusho, au maeneo mengine karibu na hayo. Iwe ni sehemu yenye movement ya watu.
Kama una eneo hilo au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.