Bei ya pili pili hoho sokoni

Bei ya pili pili hoho sokoni

Ntyeka

New Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Napenda kujua bei ya pili pili hoho sokoni maana mi ni mkulima na bado sijajua bei kamili ya kilo au gunia la pili pili katika masoko mbalimbali watalamu naomba msaada wenu Wa kuweza kujua na soko kamili kuwa liko wapi?
Asante
 
Back
Top Bottom