Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu nahitaji pikipiki aina ya fekon au boxer bajeti yangu. Kama unayo na ina hali nzuri na document zote nitafute 0712623938
0 Reactions
1 Replies
849 Views
nkienda insta naona 55,000 tshs... nlivyopita kkoo kuna mtu akanambia 18,000 ila hakunionesha (sikuiona) kwa anaejua bei yake inarange vipi,nsije pigwa
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Zipo ekar 40 miti INA umri Wa mwaka mmoja Bei ya kila ekar ni tsh 300000 pamoja na Ardhi Shamba lipo kijiji cha MFIRIGA ktk mkoa Wa Njombe Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929 au 0655726929
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau mbwa puppy gsd anauzwa umri miezi8
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Lutaingia Lita 2000 Halina demage yeyote Halijawahi kutumika/Halijapauka Limeshatobolewa cock ya kutolea maji. Unaweza ukapata na sehemu ya pipe yake yenye urefu wa kama mita 4 Bei 200000 Karibuni...
1 Reactions
19 Replies
8K Views
Tupo k.koo (CHINA/MOBILE PLAZA) 0717-062242 Karibun sana
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Habarini za kuamka wana JF, mm nimefungua saloon ya kike Nyamongo Tarime, ninatafuta mfanyakazi ambae naweza kufanya nae kazi kwa uaminifu, ntamwachia Saloon ataiendesha mm ninajishughulisha na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Friji brand BEKO linafanya kazi vizuri ....lina sehem ya friji na freezer Being 450k Kiitanda cha mninga 6*6 godoro nchi 8 kwa laki 350K Kabat la nguo #mchina lina marekebisho kidogo...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Nina uhitaji mkubwa sana wa gari aina ya NOAH ivyo kwa yeyote ambaye ana aina iyo ya gar ani PM haraka sana, ila iwe kwenye hari nzur ofa yangu ni M6 mpaka M6.5 au mnitafute kwa no 0715 546818...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Inatafutwa Noah ya kizamani hard body na coater minibus 0654347423 ita haraka
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa wajasiriamali mashine ya kuoka mikate inayotumia mkaa kidogo tu yaani wa tsh 500/= inauzwa. Ni mashine ya kuoka mikate na keki,mashine inapatikana tabora kwa wateja wa mikoani unatumiwa mpaka...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Ninauza mashine ya Kuprint Tshirt...6 colours 6 stations screen printing machine..inakuja pamoja na Flash drier lake na light box...Imetumika kwaajili ya kufanyia testing tu tangu ifike...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je unamiliki shule ya msingi au sekondari ambayo imeshasajiliwa na ungependa kufungua tawi au campus nyingine katika jiji la Dar es Salaam maeneo yenye population kubwa kama chanika mjini...
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Inahitajika simu mpya bajeti laki mbili preferably Tecno, huawei or any other. Brand nyingine kama used itapatikana poa tu, lakini isiwe imetumika muda mrefu. Nipm then nitakuconnect na muhitaji.
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Niko mwanza ila nataka nihamie nchi jirani nina flat screen ya startimes inch 40 ,ni hd nimeinunua tarehe tatu mwezi wa nane mwaka huu, kwa maana ya kwamba ndo ina mwezi moja na wiki mbili, mbezi...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Ahitaji spika,mwenye nayotufanye biashara
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Kilo 2.2 95,000/= Delivery in dar na mikoan tunatuma pia 0717-062242 Tupo k.koo (CHINA PLAZA)
1 Reactions
10 Replies
2K Views
1.Kiwanja hiki kipo nala kibaoni 2.Eneo liko umbali wa kilomita 13 kutoka katikati ya mji(town centre) 3.Eneo liko umbali usiozidi kilomita 1.2 kutoka barabara kuu iendayo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom