Nauza shamba la kupanda miti,ekari 15 Njombe,Mjimwema.

nyitu1

Member
Nov 29, 2013
34
16
Heshima kwenu wakuu.

Ninauza shamba la kupanda miti/hasa miti ya mbao ( pines na mlingoti/eucalyptus) ekari 15. Shamba lipo maeneo ya Njombe Mjimwema,lipo KM 6 kutoka Njombe Petrol Station barabara kuu ya Njombe Songea.
Kila ekari nauza TZS 600,000.
Nauza kuanzia ekari 5 na kuendelea.
Mazungumzo yapo.

Namba Tanisha na picha za eneo la shamba.
N:B Nilipanda miti hapo shamba mwaka 2006 na nimevuna mwaka huu mwanzoni.
Sababu ya kuuza ni nataka kubadiliaina ya kilimo nachofanya.

Kwa maelezo zaidi tafadhali tuwasiliane kwa email nurumode@gmail.com.

Karibu.
 
Attachments

  • GoogleEarth_Image(3).jpg
    GoogleEarth_Image(3).jpg
    109.8 KB · Views: 106
  • GoogleEarth_Image(2).jpg
    GoogleEarth_Image(2).jpg
    109.4 KB · Views: 110
Picha ya Satellite mkuu,sasa hapo ni njia ya Kwenda Msete/Ngalanga au kule nyuma ya stand mpya inakojengwa?maana kote Mji mwema
 
Kwa taratibu za Njombe,Hilo shamba ni la urithi?ulinunua au imekaaje?maana baadae inaweza leta taabu hata kama lina hati
 
Heshima kwenu wakuu.

Ninauza shamba la kupanda miti/hasa miti ya mbao ( pines na mlingoti/eucalyptus) ekari 15. Shamba lipo maeneo ya Njombe Mjimwema,lipo KM 6 kutoka Njombe Petrol Station barabara kuu ya Njombe Songea.
Kila ekari nauza TZS 600,000.
Nauza kuanzia ekari 5 na kuendelea.
Mazungumzo yapo.

Namba Tanisha na picha za eneo la shamba.
N:B Nilipanda miti hapo shamba mwaka 2006 na nimevuna mwaka huu mwanzoni.
Sababu ya kuuza ni nataka kubadiliaina ya kilimo nachofanya.

Kwa maelezo zaidi tafadhali nipigie kwa namba 0784301520 au email nurumode@gmail.com.

Karibu.
Sawa ngoja waje wapanda miti
 
Soso post: 23413066 said:
Picha ya Satellite mkuu,sasa hapo ni njia ya Kwenda Msete/Ngalanga au kule nyuma ya stand mpya inakojengwa?maana kote Mji mwema
Mkuu hiyo ni njia ya kwenda mashambani kwa kina mtewele Walikolima kahawa
 
Soso J 23413104 said:
Kwa taratibu za Njombe,Hilo shamba ni la urithi?ulinunua au imekaaje?maana baadae inaweza leta taabu hata kama lina hati
Nilinunua kwa wenyeji miaka ya 2000 mkuu
 
Back
Top Bottom