Nahitaji mpira wa miguu used.

Nahitaji mpira wa miguu used.

NDULUMESO

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
243
Reaction score
177
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kununua mpira wa miguu kwa matumizi yangu binafsi. Naomba mwenye uelewa wa wapi ninapoweza kuupata anijuze tafadhali
 
Nenda karume ipo mingi tu..kuanzia 10k mpk 70k...wewe tu na kamba yako
 
Back
Top Bottom