Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,522 Reaction score 14,005 Sep 17, 2017 #2 Wewe ni tour guard lakini ninavyojua wageni wengi wanataka tour guide na sio tour guard.!
kobokocastory JF-Expert Member Joined Aug 30, 2014 Posts 1,076 Reaction score 1,272 Sep 17, 2017 #3 Kwa maelezo yako (tour guard) manaake ni kwamba unatoa huduma ya ULINZI kwa wageni. Ila kama ni huduma ya KUPOKEA wageni na kuwaongoza kwenda sehemu mbali~mbali zenye vivutio basi ingekuwa TOUR GUIDE. Tatizo hii lugha ilikuja kwa meli mkuu
Kwa maelezo yako (tour guard) manaake ni kwamba unatoa huduma ya ULINZI kwa wageni. Ila kama ni huduma ya KUPOKEA wageni na kuwaongoza kwenda sehemu mbali~mbali zenye vivutio basi ingekuwa TOUR GUIDE. Tatizo hii lugha ilikuja kwa meli mkuu
S Salma Mustapher Member Joined Sep 15, 2017 Posts 15 Reaction score 1 Sep 17, 2017 Thread starter #4 Mtanisamehe nilikosea hapo nawala ckujua asanteni