Msaada wa mpira wa kumwagilia maji

Msaada wa mpira wa kumwagilia maji

Nrangoo

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
3,423
Reaction score
5,483
Habari wakuu,

Naomba mtu mwenye mpira wa kumwagilia maji wenye urefu wa mita 100, inchi 2 uliotumika lakini upo katika hali nzuri nataka kutumia kwenye pump yangu!

Tuwasiliane PM
 
Back
Top Bottom