Mwenye laptop anayetaka kuuza

Mwenye laptop anayetaka kuuza

Bensoy

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
576
Reaction score
625
Ninashida na laptop bei ya kununulia mpya cna. Mtu mwenye laptop yake anayetaka kuuza anitafute. Iwe na Ram 4GB Au zaid Hard disk ikiwa 1000 au zaid ni vizuri. Pia asiwe ametumia zaid ya miaka miwili ikiwa mpya ni vizur zaid. Offer inategemea na aina ya laptop ila isizid tsh lak 7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa bei hyo unapata mpya dukan mkuu nenda mlimani city pale utapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninashida na laptop bei ya kununulia mpya cna. Mtu mwenye laptop yake anayetaka kuuza anitafute. Iwe na Ram 4GB Au zaid Hard disk ikiwa 1000 au zaid ni vizuri. Pia asiwe ametumia zaid ya miaka miwili ikiwa mpya ni vizur zaid. Offer inategemea na aina ya laptop ila isizid tsh lak 7

Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza laki nikuletee macbook kiongozi
 
Ninashida na laptop bei ya kununulia mpya cna. Mtu mwenye laptop yake anayetaka kuuza anitafute. Iwe na Ram 4GB Au zaid Hard disk ikiwa 1000 au zaid ni vizuri. Pia asiwe ametumia zaid ya miaka miwili ikiwa mpya ni vizur zaid. Offer inategemea na aina ya laptop ila isizid tsh lak 7

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo PM
 
Bei hiyo unapata mpya.
Au njoo pm mimi nikupe mbili za maana.
 
kwakuwa hujasema unataka yenye processor ipi...nenda dukani utapata mpya..kama huzijui laptop tafuta mtu akakusaidie kuangalia usije kununua lonya kwa bei ya suti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom