Rejea kichwa cha habar hapo juu.
Chumba sebule choo chake kipo vizur kina tiles bei yake 200,000 kwa mwezi.
Pia ipo kubwa vyumba viwili choo chake na sehemu ya jiko. Bei yake 300,000/- kwa...
Scarf za kisasa unaweza ukafunga kichwani unaweza kufunga kama hijabu na unaweza kufunga kama inavyoonekana hapo jumla 7500 rejareja 12000 Kwa mawasiliano 0717251523 / 0654622685
Habari wadau,
Natafuta eneo la wazi la kuuzia chakula preferably posta. Ila ikishindikana kabisa hata kariakoo.
Liweze kuruhusu angalau meza 10 za plastiki na eneo kubwa kwa ajili ya jiko na...
Nina eneo la ardhi 7mx10 m Sinza natafuta bwana/bi kilimo bustani atoe ushauri wa kitaalamu mikakati ya kuvuna mazao kwa eneo hilo na kupata walau shilingi 400000 kwa mwezi ,mawasiliano 0654347423
Habarini wana jf, leo nimeona niwashirikishe mafunzo mazuri ya Ujasiriamali yatakayokupa maarifa yakuweza kumudu biashara na shuhuli nyengine za kukuingizia kipato.
Kumbuka katika mafunzo haya...
Noah road tour ya model 1999 yenye detail zifwatazo
Engen 3s
Cc1998
Katika noah zote hii ndo model imara sana kulipo model zote
Inaweza kibeba watu hadi kumi na mbili
Ina music system yeny tv...
Habari kuna viwanja vingi tunaviuza maeneo ya kigamboni yale yale puna ambapo ni kilometer 37 kutoka ferry ya kigamboni na ni dakika 55 kwa gari mwendo wa kawaida.
Bei ya viwanja kwa square meter...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.