Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Salaam wakuu ninahitaji chumba single cha kupanga kwa ajili ya kukaa mwanafunzi maeneo ya kimara korogwe au kimara-mwendokasi kisichozidi 40,000/- kwa mwezi. Kianzio 120,000/-
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Ndugu zangu, Ninaimani kuwa hamjambo, Kwa miaka mingi sana tangu soka kuanza ubashiri wa matokeo umekuwa uleule, kwa makampuni yote duniani, binafsi nimekaa na kuunda formula tatu, ambazo ni kwa...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Nauza Car seat nzuri ya blue second hand ingawa haijatumika bado ina hali ya upya.ni imara na in good condition. Bei tzs 190,000.karibuni kwa picha 0786 057996 or call 0756661761 nimejaribu Ku...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Mwenye uhitaji wa external hdd 500gb au 1Tb zenye muvi... 500gb - Tsh. 90,000 (empty) 500gb - Tsh. 130,000 (50gb muvi) 1Tb - Tsh. 130,000 (empty) 1Tb - Tsh. 160,000 ( 50gb muvi) Nipo...
1 Reactions
5 Replies
826 Views
  • Closed
Western Digital External Hard Disk for sale Size; 1000GB Condition; Used Plug And Play Price: tsh.155,000/= Call/text/whatsapp 0689341445
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wasalaam wanajumuia wa JamiiForums, Nauza mahindi mabichi (gobo) heka moja. Hivyo nahitaji mnunuzi tafadhali, Shamba lipo Mlandizi bonde la Mtoruvu, maarufu kama Kivukoni kwa Mpili. Mwenye...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana janvi. Jaman kama kuna mfanyabiashara humu ndani naomba anisaisie ivi viatu bei ya viatu being gani? Huku kwetu Mbeya reja reja vinauzwa7000. Sasa nahitahitaji kujua being take ya...
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu nauza Simu tajwa hapo juu Simu ni sawa na mpya kabisa kwani imetumika miezi 3 tu na sababu ya kuuza ni sababu za kiuchumi Simu ina charger Yake original,ina...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kesho nitakuwa mjini niki fanya deliver Kuanzia SAA 5asbh Kuweka oder yako wahi oficine tabata asbh Au weka oder kupitia 0713691101 24/7 280,000 tshs Set ni 3*2*1*1 Freely door to door Karibuni
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi nina biashara yangu ya asali mbichi kwa yeyote mwenye uhitaji anitafute kupitia hii namba 0654553163 napatikana Dar es Salaam. Nauza kwa liter na jumla bei rahisi tuwasiliane.
0 Reactions
1 Replies
771 Views
Iwe maeneo ya survey au mbezi beach chumba na sebule na choo ndani kuwe na parking ni haraka inahtajika
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa aliye na line tajwa hapo juu tafadhali TEXT ONLY 0712046405 NITAJIBU HARAKA IWEZEKANAVYO NA KIASI NILICHO NACHO TUTAONGEA HUKO NIPO DAR ES SALAAM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kesho nitakuwa mjini niki fanya deliver ya cover sofa set Kuanzia SAA 5asbh Kuweka oder yako wahi oficine tabata asbh Au weka oder kupitia 0713691101 iko hewani 24/7 pia kwa picha zaidi njoo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu,katika utafiti mzito nilichogundua hili jukwaa ni la madalali watu janja janja ukikaa kizembe utakuta mwana si wako yani mtu anakudalalia ukiwa macho duuuh asalale viongozi hii ni...
0 Reactions
1 Replies
731 Views
Habari kama kichwa kinavyojieleza inahitajika nyumba yenye chumba chenye choo ndani pamoja na sebule maeneo ya (ubungo - mawasiliano) contacts: 0717 351717 au 0782 789980
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtu anayeuza king'amuzi cha digitek tuwasiliane 0625 571297
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello, natumaini wazima, ngependa kuongelea kuhusu animations kidogo japo haijapewa kipaumbele sana japo ni muhimu sana hasa technology inavyozidi kukua tunahitajika kuboresha matangazo yetu...
0 Reactions
4 Replies
694 Views
Habarini za Mchana, Wadau nimefanikiwa kufungua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi maeneo ya Tandika Dar es Salaam. Natafuta mshirika anayejihusisha na biashara ya mahindi kwa ajili ya...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wakuu. Kama wasemavyo wahenga 'ukishindwa kupanga, basi umepanga kushindwa' .Pia kitaalamu unapotaka kufanya jambo lenye athari na maisha yako lazima uwe na mpango maalum kwani mpngo mbovu...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanunuzi serious wanipigie bei ya kutupa bus Kama lilivyo kwenye picha limeshalipiwa ushuru na kila kitu. Simu: 0625249605
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Back
Top Bottom