Heka moja madale mil 180 tu full tittle did.

Heka moja madale mil 180 tu full tittle did.

mfetere

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
251
Reaction score
95
Habari ya asubuhi kuna eneo heka moja ni tambarale hamna mabonde madale good location nzuri kwa kujenga appartimen full document (hati)bei imeanza mil 180 maongezi unakaribishwa if ur serious buyer mawasiliano kwa namba +255714787795 picha zinagoma whatsapp nitakutumia picha na video nafanya jitihada za kuweka picha pia.
 
Kwani Dsm kuna nini cha ziada mpaka hekari moja iuzwe mil 180?

Yawezekana mimi ni mtu wa ajabu maana nafikiri tofauti kweli kweli.

Japo sina mil 180 but sijawahi kuona ulazima wa kumiliki kiwanja Dsm kwa ninavyoijua Dsm iliyojaa kero.

Mil 180 Madale? Kisa unatafuta kua miongoni mwa watu wanaoishi Dsm?

Bora ununue Pugu kajiungeni hakuna joto, altitude nzuri, hewa safi na kikubwa zaidi utapata bei za kawaida tu.
 
mchanga wa Dar ni dhahabu, Kariakoo ndiyo hugusi
 
Mchaga wa Dar ni dhahabu, Kariakoo ndiyo hugusi
Hata ingekua Tanzanite, sijawahi kuipenda Dsm

Hata kama mahitaji mengi yanapatikana Dsm lakini bado zile vurugu na kero za usafiri, wizi n.k siipendi Dsm maisha yangu yote.
 
M 180/= kwenye usawa huuu...kaa M 10/= nakupa, ila kiwe na hati na tutafata taratibu zote za mauziano...kuanzia halmashauri mpaka kwa mwanasheria.
 
Back
Top Bottom