Nauza Baby Walker za mbao

Nauza Baby Walker za mbao

Duuuh aisee mmetisha wapi iyo munaita "wooden baby Walker" Kwengwe?

Mkuu pwani huko alafu zamani kijijn tulikuwa tunachinga wenyewe tu ila watt pia enzi hizo tulikuwa tunachelewa sana kutembea ila mm nashangaa mtoto wangu wa kwanza katembea akiwa na miezi 8 ila mm wanasema miaka zaidi ya 2 na msaada wa kwengwe juu hahaha
 
Hizo ndio zinashauriwa kwa watoto. Zile za kizungu mtoto anadumbukia kwa ndani nasikia zina madhara kwa mtoto. Akizitumia ana lack confidence na ndio maisha yake yote yana kua yameathirika psychologicaly. Hata baadhi ya nchi wame zi ban watu wasizitumie.
 
Kwa Kiwango Kikubwa Sana Hiyo Kitu Watu Wametumia Sana Hadi Sasa Hivi Baadhi Ya Wazazi Huwapa Watoto Wao Ni Nzuri Kuliko Ile Ya Hao European 😀
 
Back
Top Bottom