Specifications:
Aina ya laptop ni mg 101 a3 ,
Ram 2 gb,
Cpu 1.67 ghz,
Rard disk 320 gb,
Bei yake 280,000/= taslim
Inatunza charge kwa masaa 6+, hard disk za 320 gb pia zinapatikana kwa 90,000...
Kesho nitakuwa mjini niki fanya deliver
Kuanzia SAA 5asbh
Kuweka oder yako wahi oficine tabata asbh
Au weka oder kupitia 0713691101 24/7
280,000 tshs
Set ni 3*2*1*1
Freely door to door
Karibuni
Habari wana JF, Business as usual..
Nauza Vitabu kama ifuatavyo.
Economics
Econometria - Gujarati - Basic Econometrics
Economics - Principles and Applications (2nd Edition)
Entertainment Industry...
Wakuu habarini zenu,
Niko kwenye mchakato wa kuuza htc one yangu, haina tatizo lolote, inakaa na chaji vizuri tu internal storage 32gb, android version 5.1 (but you can upgrade), camera iko poa...
Habari ya asubuhi wanaJF...
Nahitaji simu janja (Smartphone) iwe mpya, refurbished au imetumika na ipo katika hali nzuri, aina ya simu ninayo hitaji ni kati ya hizi zifuatazo
Sony Xperia
Z3+
Z5...
Ni maduka ya kimataifa. Hata Tanzania yanaweza kuanzishwa.
Ni maduka yasiyofungwa iwe mchana iwe usiku, iwe jumapili iwe sikukuu. Yako wazi 24/7
Yanaitwa Seven Eleven kwa sababu mwanzoni maduka...
jinsi ya kufanya unanunua nailoni gumu yapo kariakoo
unaliweka kwa kulichimbia au kulitafutia uzio kama mawe au matofali pembeni kisha unajaza matope au maji
kisha unaweka kambale wako amabao...
Habari zenu wanajamvi...!!!Ninauza maharage ya njano mapya ya kutoka karagwe kwa jumla kwa sh 1600 tu kwa kilo moja.
Napatikana jijini mwanza na kwa wateja wote waliopo mwanza mjini na kwenye...
Laptop Repear ANY BRAND! ANY PRONLEM!
-TUNAREKEBISHA LAPTOP AINA ZOTE NA KWA MATATIZO YOYOTE
-TUNAPIGA WINDOW AINA ZOTE (WINDOW VISTA/7/8/8.1/10)
-TUNAWEKA GAME ZOTE
-TUNAWEKA PROGRAM ZOTE ZA...
Habari .
Ninatafuta gari aina ya toyota vitza ama toyota duet bajeti yangu ni milioni 4,maongezi yapo kama gari ikinivutia.
Kwa mwenye gari nipm ama weka contact ntakupigia
habari wakuu ningependa jua sehem wanapopatikana mafundi wazuri wa fridges na contacts if possible nina friji lina hitilafu
location nipo tabata barakuda
Ni Chuo kilichopo Dar es Salaam Tanzania
Kiko registered na NACTE
Kimeanza mwaka jana na kina mazingira mazuri ,vifaa vizuri na vya kisasa, maji ,umeme, na walimu wa kutosha wa kuhudumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.