Natafuta soko la tikiti

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,753
9,568
Habari

Mwezi March naanza kuvuna matikiti wadau, nasaka soko lake hivyo msiniangushe please mnunue nikivuna ndo nitaweka bei yake kwani siwezi kuweka bei yakiwa shambani.

Na vile natafuta soko la haya matikiti kwa yeyote anayefahamu mahali au masoko aniambie wakuu.

Siku njema
 
Dia hongera kwanza kwa kulima! pia nakushauri anza kutembelea masoko ya buguruni kuna madalali wazur na wabaya kuwa makini!! kingine angalia size ya matikiti yako ndiyo yatakayokupa bei nzuri...kila lakheri!!
 
asante sana bestito nitakwenda kuwacheki hao madalali
Dia hongera kwanza kwa kulima! pia nakushauri anza kutembelea masoko ya buguruni kuna madalali wazur na wabaya kuwa makini!! kingine angalia size ya matikiti yako ndiyo yatakayokupa bei nzuri...kila lakheri!!
 
Nicheck humu 0786813856 ndug utanisaidie nina mzigo wa matikt ta12 sept 2017 natarajia cna na cm ya whatsapp kpnd hk
 
Mimi navuka wikiendi ijayo. Kama upo serious ni-pm namba yako ya whatsapp nikurushie picha ili uone ukubwa wa matikiti, ndipo tuelewane bei.
 
wadauu navuna tikiti wiki mbili zijazoo natafuta soko kwa mliouzaa nisaidien.
Experience yangu kwa kilimo cha tikiti: Nililima ekari moja na nusu, niligawa batch mbili katika mpando ilipishana kwa wiki. batch ya kwanza nilitoa 2.5 tones, good thing ziliwiva vizuri. Nilipeleka soko la sterio. Bad thing, aisee pale pana magumashi sana kwa madalali + matikiti yalikua mengi kiasi sokoni so niliyumba. Two weeks later, batch ya pili nilitoa 2 tonnes, Nilipeleka soko labuguruni kwa sasa lipo vetenari. Good thing, dalali hakua magumashi kivile though ujanja hauwezi kosekana mjini apa. Bad thing, tikiti hazikuwiva vizuri though zilikaa mda mwingi shambani compared to the previous batch + kwa sasa sokoni matikiti ni mengi mnoooo, wateja ni wakutafuta sana inabidi unampa kwa bei yake la sivyo yanakudodea.
In general that was my first experience kwa tikiti, though I did not return my initial investment I wouldn't call it a loss but a lesson. Tatizo kubwa nililoliona ni Market unreliability....
 
ok, Thanks kwa Ushauri. So huyo Dalali ulimpata palepale au unamfahamu unipe namba yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom