jacqline makundi
Member
- Sep 10, 2017
- 21
- 1
Korosho kilo ni bei gani?
kumbe ndio maana huwa zinauzwa ghaliBei bado haijatangazwa rasmi Ila Zilizobanguliwa kilo sh 17000-18000 Kwa Vijijini, zikija mjini kilo 25000-30000.