Mkopo chapuchapu

mzee wa kijiwe

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
947
684
Je umekwama na unataka Msaada wa fedha Kwa haraka?
Je unataka kukopa fedha Kwa riba ndogo?
Je unataka kupanua Biashara yako ndogo na huna mtaji?

Basi sasa umepata jibu la maswali yako hayo.

Tunakopesha kuanzia elfu hamsini Hadi Laki Moja Ndani ya masaa Matatu tuu utakuwa umepata Msaada wako wa fedha.
Dhamana ya mkopo wako ni simu yako ya mkononi.
Utarejesha fedha Ndani ya wiki mbili na utakopeshwa tena

Wasiliana nasi sasa
0715829576
Tupo Dar Kisutu jengo la Red Cross ghorofa ya kumi
Njoo sasa Kwa Msaada wa kifedha
 
Andika jina la taasisi yenu, usiishie kuandika namba za simu tu.
 
wee acha siasa kwenye fedha, taasisi yanini? We unataka fedha au taasisi?
Hapo hakuna siasa, huwezi kukopa ikiwa humjui aliyekukopesha wa huwezi kumkopesha usiyemjua hata bila kumwona. Siasa iko wapi hapo. Maana yangu kuu ilikuwa kama mna app inayopatikana online(kama Branch, L-Pesa nk)
 
Kuna baadhi ya watu wapuuzi sana humu jf, haswa katika.ishu za mikopo, anajitokeza mtu anaomba kusaidiwa mkopo na unakuta ana shida.kweli lakini unakuta thread haichangiwi na zaid unakuta kejeli zisizo.na faida na kumkatisha tamaa kwamba hatopata, wengine wanaanza kusalimiana humo.kwenye thread ya mtu, lakini akitokea mtu kama mleta mada wanaotaka kusaidia wenye uhitaji tena hata wale ambao hawana hati za nyumba wala viwanja wanaambiwa matapeli. Muwasaidie nyinyi basi
 
Kazi ipo kumsaidia mtz
 
Back
Top Bottom