Habari wanajamvi,
Msaada, ni wapi naweza pata kiatu tajwa original hapa mjini Dar. Nimejaribu kutembea K'koo last Wikend nimekuta fake vingi wanauza kwa 85k(nafahamu Og itakuwa zaidi hapo). Shida...
Habari zenu wakubwa shikamoo!wadogo mambo vp!namiliki samsung s6!lakini nahitaji mwenye s6+tufanye kubadilishana na nimuongezee pesa!anitajie ofa nzuri nipo tayari kama yupo inbox itatuhusu!asanteni!.
Jamani gari inauzwa 3.5 mil fixed, ipo Dar es Salaam, inahitaji rangi, shockup za nyuma, mfuniko wa tank la mafuta.Gari ina namba B.
Aliyetayari ani PM tuzungumze biashara.
Habari wadau ,
Nimefunga salun yangu ambayo nimeiendesha kwa mda wa mwezi mmoja tu.
Sabab ya kuuza,ninahamia mkoani kikaz,
Kioo cha mbele kikubwa futi 5*6 80,000/=(aluminium)
Kioo cha nyuma...
Nina sambaza karanga mbichi kwa bei poa, karanga zinatokea mkoa mpya wa songwe wilaya ya mbozi, kubwa kubwa nyeumbe na nyekundu, bei yetu ni shilingi 2,500 nyeupe na 27,00 nyekundu, karibuni sana...
Salamu wakuu,
Natafuta Ps3 console mbili (2) za kununua ambazo zitakuwa mpya au zilizotumika kwenye hali nzuri pamoja na controller (pad) zake.
Mashine zilizoguswa guswa na kurekebishwa no...
Ramani za nyumba za kawaida na maghorofa,ramani za nyumba za kawaida sasa ni 250,000- 300,000 kama inakuwa na mabanda ya nyuma(servant quarter) inakuwa ni sh 350,000.
Ramani za ghorofa moja ni...
Kampuni ya Mindsource yenye makao yake Morocco na yenye kuendesha trainings ama mafunzo kwa watu walio maofisini ama hata waliomaliza masomo na wanataka kufanyiwa trainings, inatangaza nafasi ya...
Mara nyingi sana mtu akitaka kulima hasa mboga atatafuta shamba pembeni ya mto wenye maji ili aweze kulima mboga au matunda au hata mazao mengine.
Kwa hali ya sasa huu utaratibu ni hatari sana na...
Niwashirikishe Wakulima wa Papaya
Kampuni ya ELVEN AGRI iliyopo Mapinga Bagamoyo. Inahitaji matunda ya Papaya kwa wingi, kiasi cha tani 6 mpaka 8 kwa wiki.
Aina ya papaya: Ipb9 calina, Red...
Wahi sasa ujipatie blenda inayokamua na kuchuja juisi ya matunda mbalimbali bila kutumia umeme. Pia haisagi mbegu kwa matunda yenye mbegu kama machungwa, passion n.k
Utafikishiwa popote pale...
Habari,
Nahitaji scrap/skrepa/chuma chakavu,ninanua kwa anae weza kukusanya kuanzia tani moja na kuendelea tafadhari tuwasiliane soko ni uhakika na bei iko kama ifuatavyo
copper 1kg=900Tsh
blase...
Habari. Ninahitaji friji used ambalo lipo katika hali nzuri.dogo la size ya kati.ambalo lina sehemu ya kugandisha na kupooza. Au Kama una duka maeneo ya tabata kimanga nijulishe ntakuja. Ahsanteni
Habarini. Zinahitajika gari mbili za aina Toyota au Suzuki ambazo zimetengenezwa kuanzia mwaka 2007 na kuendelea ziwe na CC kuanzia 1000 - 2000. bei yake Isizidi Mil 7. kama kuna mtu atakuwa nayo...