Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habar, Husika na kichwa hapo juu nauza HUAWEI E9 PRO bei 450000/=Tshs nahitaji walio serious kwenye business caffeine na sio jokes. Napatika Tanga mtaa wa Mapinduzi msikitini kona ya kuelekea...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Pata Dagaa safi na wasio na mchanga toka bukoba,Tunapatika kituo cha Taliani Kama unaelekea Chanika Jijini Dar es salaam.... Bei ya kilo moja ni shilling 8000/= kwa mawasiliano zaidi piga namba...
0 Reactions
2 Replies
44K Views
Boxer & Vest bei Tsh 12000/= ziko 3 ktk package 1 moja % Cotton fit t-shirts fit zipo 3 ktk package 1 Tsh 22000/= % Cotton +255 715 919 043
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Nahitaji chumba cha kupanga Location Mtanda Lindi gharama isizidi 30000 kwa mwezi Umeme ni lazima
0 Reactions
11 Replies
1K Views
kichwa cha habari kama kinavyojieleza vifaranga wawe na wiki mbili au chini ya hapo. na wawe wanapatikana maeneo ya jiji la arusha muuzaji weka comment hapo, bei yako na mawasiliano yako
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hali ngumu jamani kama una subwoofer unauza kuna 40,000 cash ipo hapa 0787 429 104 Dar es salaam goba.
0 Reactions
5 Replies
933 Views
  • Closed
______________________________ ______________________________ UPDATES Wakuu Simu nimepata. Asanteni Kwa ushirikiano. Mwenyezi Mungu awabariki Sana.
2 Reactions
37 Replies
4K Views
[emoji837]LIMITED TIME OFFER [emoji837] Biggest [emoji985]Website Design OFFER!! accompanied with great services[emoji1417] to grow your business online[emoji817] Contact us now W...
0 Reactions
5 Replies
921 Views
Bidhaa nzuri toka kampuni ya phytoscience zinasaidia kutibu magonjwa mbalimbali yakiwemo presha, kisukari, stroke, vidonda vya tumbo, Kansas n.k
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar! Tunatoa huduma ya fumigation and Pest Control service hapa Arusha Kwa wenye Changamoto ya wadudu kama Mende, kunguni, mchwa, sisimizi, Panya n.k katika maeneo ya Mahotel, majumbani...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Husika na kichwa hapo juu natafuta kiwanja Arusha maeneo nayopenda hasa ni kwa Mromboo, ukubwa kuanzia mita 20/20 na kuendelea ni vyema kama ukaweka na bei yako kabisa hapa. Asanteni.
0 Reactions
5 Replies
957 Views
Habari zetu wana jamvi...naomba kujua bei ya Toyota Coaster hapa dar kwenye show room. Pia endapo nitakuwa na pesa pungufu ya kununulia inawezekana kupewa gari halafu ukalipa kidogo kidogo hadi...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau nahitaji pumba za mahindi,mwenye msaada wa kujua zinapatikana wapi na kwa gharama zipi snipe tafadhali
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kichwa chajieleza Location Dar riverside ubungo maziwa changanyikeni kimara kona na maeneo ya karibu na hayo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina dharura nahitaji Tsh 1,000,000 Tafadhali kama unajua mtu yeyote anayekopesha au nnapoweza kupata leoleo kwa riba... naweza kuweka vitu vya ndani kama dhamana, 1.Friji jipya 2.Sofa set ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu nauza injini ya 1kz-te, haina tatizo iko kwenye toyota hiace super custom. sababu ya kuuza nataka niifanye hiyo hiace kuwa daladala na hiyo injini ya 1kz ni kubwa ina turbo haifai kwa...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Mac book Air 2011 HDD 64gb,core i5 processor 1.6 2gb ram inauzwa 650000/= kwa mawasiliano 0628993916. Tatizo charger inaloose. Long lasting battery. Hela inatakiwa cash kuna shida.
0 Reactions
3 Replies
812 Views
Habari zenu nauza asali mbichi isiyochanganywa na kitu,Lita moja shilingi 15,000/ Lita ishirini sh 220,000/ nakuletea ulipo kwa DSM, morogoro,Dodoma na mbeya. Karibuni na ninatafuta soko.kwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Lipo maeneo ya fukayosi ni ekari 4 na bbei yake ni 1 million,, tuwasiliane.
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Natafuta nyumba ya kupanga ya bei nafuu jijini Dar. Sasa natafuta mtu mwenye nyumba ya chumba kimoja na sebule self au dalali mwenye nayo... Sababu za kuhama kwenye hili mansion ninalokaa sasa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom