Kwa wale wanaohitaji blender zisizotumia umeme

Kwa wale wanaohitaji blender zisizotumia umeme

Mundana

Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
84
Reaction score
114
Wahi sasa ujipatie blenda inayokamua na kuchuja juisi ya matunda mbalimbali bila kutumia umeme. Pia haisagi mbegu kwa matunda yenye mbegu kama machungwa, passion n.k

Utafikishiwa popote pale ulipo ndani ya Dar es Salaam bila malipo kwa wale wa mikoani tunaagiza. Wasiliana nasi kupitia 0627840506.

19029655_140658976484256_8116185856885255286_n.jpg
19961205_151610325389121_8986122920832676698_n.jpg
19990341_151610332055787_4257622669446755171_n.jpg
20031651_151610322055788_6036274618286760571_n.jpg
 
Kama kweli unauza hii bidhaa mkuu Mundana hebu weka picha halisi za bidhaa uliyonayo hapo dukani/nyumbani kwako.
Nimeweka picha hizo lengo kitu kionekane vizuri na hata mtu akihitaji atapewa kama hiyo hivyo suala la picha lisikupe hofu kikubwa ni bidhaa nasiyo picha.
 
Je mimi ambaye nipo huku dodoma itanigharmu kiasi gani hadi linifikie?
kwa wateja wa mikoani huwa wanachangia hela ya usafilishaaji naofisi nayo huchangia pia na kama kwenye magari ya kuja huko huwa wanatuchaji sh10,000 hivyo mteja huchangia 5000 na ofisi hutoa 5000. kwa maana hiyo itakugharimu sh 40,000.
 
unauza blenda za umeme alafu picha inaonyesha ni mechanical upo serious kweli!!
 
Back
Top Bottom