Habari zenu nauza asali mbichi isiyochanganywa na kitu,Lita moja shilingi 15,000/ Lita ishirini sh 220,000/ nakuletea ulipo kwa DSM, morogoro,Dodoma na mbeya. Karibuni na ninatafuta soko.kwa...
Natafuta nyumba ya kupanga ya bei nafuu jijini Dar. Sasa natafuta mtu mwenye nyumba ya chumba kimoja na sebule self au dalali mwenye nayo...
Sababu za kuhama kwenye hili mansion ninalokaa sasa...
Habari zenu wanajamvi,
Nauza nyumba yangu mwenyewe sio dalali, ipo wilayani Maswa mkoani Shinyanga mtaa wa Dodoma, kama upo serious nichek tufanye biashara, bei ni maelewano, ndani ya eneo la...
Naomba kujuzwa bei ya debe la mahindi kwa dar nishingapi au kwa kutumia kilo kipimo kilicho zoeleka uko nishingapi kwa yoyote anaeganya biashara ya nafaka dar na anaitaji mahindi mazur tunaweza...
Habari zenu wapendwa natafuta wateja wa asali mbichi ya nyuki wakubwa Lita moja sh 15,000/ Lita ishirini sh 220,000/ kwa Tanzania nakuletea ulipo. Kwa mawasiliano 0717778505 na 0768234639 karibuni
On sale used Lenovo T410 2537WXK processor core i5 2.53Ghz,ram 4gb,hdd 250gb,DVD RW,Webcam,3 hours plus on battery,wireless,finger print,4 USB port,windows 10..price Tsh 380000 interested...
Kuanzia....
2 Ram
13mp camera
Na internal 16
Ikubali Sdcard
Pia isiwe iliyowahi kufunguliwa
Kama iko na hali nzuri sana naongeza hela kidogo
Bajeti laki 1.6
Niko DSM
0718295182
Hawa ni Wataalamu na Mabingwa wa kupambana na Wizi wa kiuharifu katika nyumba na magari Tunatumia Teknolojia ya Hali ya Juu ya kuifanya nyumba yako iwe katika hali ya ubora na usalama zaidi...
Naitaji kiwanja mwanza kati ya kirumba,kitangiri,ghana,bwiru,na elemela pesa nilio nayo ni million 6 tu niko siriasi kabisa kama unacho nicheki inbox nikupe no yangu tuwasiliane
Kuna link na nimesikia Times Fm.
Kuna washkaji wanakopesha viwanja kwa kulipia Tsh:1,000 kwa siku.
Sasa link yao nimeisahau nimeiona wapi
Mwenyenayo aitupie hapa
BLESSED
habar wana jf
Kama kichwa cha habar kinavyoeleza
Nahitaj chumba kiwe na choo na sebule maeneo ya tabata , bugurun malapa , kiwalani na sehem yeyote karibu na mji
Chumba na subule vikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.