Habari wakuu humu.
Ninahitaji kuwa wakala Wa kampuni zinahusika na ununuzi Wa korosho Wa Mikoa ya Lindi na Mtwara.
Kampuni zinazotaka kununua korosho kwa msimu Wa 2017/2018 kwenye mikoa hiyo...
NAUZA KWA BEI YA JUMLA WAHI SASA NIPO SINZA MORI
Bidhaa zote zipo kwenye Makaratasi yake.
Wasiliana nami 0784232526
1. Fridge Hotpoint HDR 252 (1) =637,500
2. Fridge Hotpoint HDR 272 (1)...
hcar travellars drivers inawatangazia Wakazi wa Dar na mikoani kuwa inatoa huduma ya madereva wenye uzoefu na Elimu ya kueleweka kwa ajili ya safari za mikoani na mizunguko ya hapa mjini. Hcar...
Kama mada invyojieleza,naitaji screen ya samsung nchi 32 mimi yangu inainyesha nusu picha ,mafundi wanasema imekufa screen kwa aliyo nayo tuongee biashara,asanteni
Habari wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kuwa napangisha nyumba iliyopo mbagala kuu karibu na shule ya msingi ya maendeleo mita mia 200 kutoka barabarani chumba kimoja na...
Laini zipo mbili zote zinahitaji Mtumiaji..ni wewe na mtaji wako.
Bei kwa laini ya voda ni 200000(laki mbili)
Bei kwa laini ya Airtel ni 150,000(laki na nusu)
Anahitajika wa kuchukua ZOTE...
Habari wadau,
naombeni msaada kwa anayejua shule nzuri ya watoto (English medium) kwa maeneo ya Tabata na kinyerezi au jirani na maeneo haya!!
nataka nimpeleke mtoto Wangu ana miaka 4 na nusu...
HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji (W)Makete kupitia kibali cha ajira mbadala kilichotolewa na
Katibu Mkuu - Utumishi Kumb. Na. CFC 26/205/01"FF" /91...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.