madam boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 701
- 744
Habari. Ninahitaji friji used ambalo lipo katika hali nzuri.dogo la size ya kati.ambalo lina sehemu ya kugandisha na kupooza. Au Kama una duka maeneo ya tabata kimanga nijulishe ntakuja. Ahsanteni
Kwani ww unaponunua si unatakiwa udai risiti.Hayo mambo ya used yashapigwa marufuku na DAB, hayatoi kodi kwa serikali hivyo jiandae kulala Central kwa kukiuka amri ya Serikali.
Kwani ww unaponunua si unatakiwa udai risiti.
Asante. Naimani hayawezi kuwa mkweche Kama mdau hapo juuNenda bale bima kwa fundi wa mafridge baba mchungaji yamejaa ya kumwaga
Ila huko mbali sanaNenda pale mangomeni mikumi zimejaa fulu
DAB kasema vitu USED vina madhara kwa afya na mazingira. Hivyo ni marufuku kwenye mkoa wake.
Hiyo pesa utakayotoa kwa vijana wa Sirro ili utoke ni bora ungeongezea ununue fridge mpya.
Asante. Naimani hayawezi kuwa mkweche Kama mdau hapo juu
90% ya magari ya Dar ni used, mbona hayajaondolewa? Na lile gulio alilotangaza kulifungua Kigamboni ni kwa magari mapya tu? Aende zake huko.DAB kasema vitu USED vina madhara kwa afya na mazingira. Hivyo ni marufuku kwenye mkoa wake.
Hiyo pesa utakayotoa kwa vijana wa Sirro ili utoke ni bora ungeongezea ununue fridge mpya.