Mpelijr
Member
- May 17, 2010
- 89
- 11
Salamu wakuu,
Natafuta Ps3 console mbili (2) za kununua ambazo zitakuwa mpya au zilizotumika kwenye hali nzuri pamoja na controller (pad) zake.
Mashine zilizoguswa guswa na kurekebishwa no please..vyuma vimekaza kote tusitafute kugombana.
CD kadhaa za game zikiwepo nachukua pia.