nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,920
- 2,529
Kampuni ya Mindsource yenye makao yake Morocco na yenye kuendesha trainings ama mafunzo kwa watu walio maofisini ama hata waliomaliza masomo na wanataka kufanyiwa trainings, inatangaza nafasi ya watu kujiunga kupokea mafunzo yao
Yanayoanza tarehe 25 oktoba.
Kalenda na ratiba nzima ya mafunzo ama trainings zao nitawatumia. Kwa watakao komentini hapa niwajuze zaidi
Yanayoanza tarehe 25 oktoba.
Kalenda na ratiba nzima ya mafunzo ama trainings zao nitawatumia. Kwa watakao komentini hapa niwajuze zaidi