Kafiti
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 538
- 220
Habari wanajamvi,
Msaada, ni wapi naweza pata kiatu tajwa original hapa mjini Dar. Nimejaribu kutembea K'koo last Wikend nimekuta fake vingi wanauza kwa 85k(nafahamu Og itakuwa zaidi hapo). Shida yangu ni Original Timz ya kuwa navaa. Wapi mnanunua. Ahsanteni.