Gari Toyota/Suzuki CC 1000- 2000. Bei Milion 6.5

Sodoku Myebusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,309
Reaction score
2,999
Habarini. Zinahitajika gari mbili za aina Toyota au Suzuki ambazo zimetengenezwa kuanzia mwaka 2007 na kuendelea ziwe na CC kuanzia 1000 - 2000. bei yake Isizidi Mil 7. kama kuna mtu atakuwa nayo tafadhali tuwasiliane inbox.

ANGALIZO: isiwe passo, vitz old model, funcargo,suzuki kei.

nashukuru kwa ile gari ya mwanzo ilipatikana na nzuri haikuwa na shida kabisa mpaka leo. nashukuru.
 
mimi nina toyota raum old model,nauza mil 4 fixed namba B.
 
Back
Top Bottom