Jamani gari inauzwa 3.5 mil fixed, ipo Dar es Salaam, inahitaji rangi, shockup za nyuma, mfuniko wa tank la mafuta.Gari ina namba B.
Aliyetayari ani PM tuzungumze biashara.
Aliyetayari ani PM tuzungumze biashara.
nakupa documents zote uende TRA mkuu karibu tufanye biashara acha majunguWewe utakuwa mwizi wa magari, kwanini unafuta namba za gari ili zisionekane?
sasa mbona umefuta namba hapo au utaka kutuuzia mbuzi kwenye gunia?nakupa documents zote uende TRA mkuu karibu tufanye biashara acha majungu
sipendi watu wajue kama nimefilisika mkuu,sasa mbona umefuta namba hapo au utaka kutuuzia mbuzi kwenye gunia?
Ok namba ni A,C au D? weka bei basi ili tuongeesipendi watu wajue kama nimefilisika mkuu,
soma vizuri tangazo mkuu,kila kitu kipo hapoOk namba ni A,C au D? weka bei basi ili tuongee
Left handJamani gari inauzwa 3.5 mil fixed, ipo Dar es Salaam, inahitaji rangi, shockup za nyuma, mfuniko wa tank la mafuta.Gari ina namba B.
Aliyetayari ani PM tuzungumze biashara.